Job 38:4-7


4 a“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia?
Niambie, kama unafahamu.
5 bNi nani aliyeweka alama vipimo vyake?
Hakika wewe unajua!
Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake?
6 cJe, misingi yake iliwekwa juu ya nini,
au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,
7 dwakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja,
na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha?
Copyright information for SwhNEN